Zhan Beleniuk
From Wikipedia, the free encyclopedia
Zhan Vensanovych Beleniuk (kwa Kiukraina: Жан Венсанович Беленюк; pia kwa tafsiri nyingine Jean Vensanovitch Beleniouk; alizaliwa Kyiv, 24 Januari 1991) ni mtu wa Ukraina anayeshiriki michezo ya mieleka na pia ni mwanasiasa, ni mbunge Mweusi wa kwanza katika Bunge la Ukraina.[1][2]