Yuya Osako
From Wikipedia, the free encyclopedia
Yuya Osako (大迫 勇也; amezaliwa 18 Mei 1990) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Kijapani ambaye anachezea kwa Werder Bremen na timu ya taifa ya Japani kama mshambuliaji.
Osako alicheza kwa mara ya kwanza katika timu ya taifa ya Japani tarehe 21 Julai 2013 dhidi ya China. Osako alicheza Japani katika mechi 45, akifunga mabao 15.[1]