Mchezaji
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mchezaji ni mwanamume au mwanamke anayeshiriki katika mchezo fulani kwa maslahi yake maalumu.
Mfano:
- Mchezaji wa mpira wa miguu
- Mchezaji wa mpira wa mikono
- Mchezaji wa mpira wa kikapu
- Mchezaji wa mpira wa wavu