Waamhara
From Wikipedia, the free encyclopedia
Waamhara (kwa Kiamhara: አማራ, kwa Ge'ez: አምሐራ) ni kabila la watu waishio katikati ya nchi ya Ethiopia. Ndilo la asili la nyanda za juu za kati nchini.
This article contains Ethiopic text. Without proper rendering support, you may see question marks, boxes, or other symbols instead of Ethiopic characters. |
Ukweli wa haraka Idadi ya Watu, Maeneo yenye Idadi ya Watu yenye Maana ...
Idadi ya Watu |
---|
25,120,000+ |
Maeneo yenye Idadi ya Watu yenye Maana |
EthiopiaEthiopia: 19,870,651[1] MarekaniUnited States: |
Funga
Idadi ya watu wanaozungumza lugha ya Kiamhara, wanakadiriwa kufikia milioni 19.8, kiasi cha asilimia 26 ya wakazi wote wa nchi hiyo. Hii ni kwa mujibu wa sensa ya taifa ya mwaka 2007. Huongea lugha ambayo imekuwa lugha ya wafanyakazi na taasisi za serikali na za jamii, pia ya siasa na uchumi nchini humo.