Misri
nchi katika Afrika Kaskazini / From Wikipedia, the free encyclopedia
Misri (kwa Kiarabu: مصر, Masr) ni nchi ya Afrika ya Kaskazini-Mashariki ikiwa na eneo la Rasi ya Sinai kwenye bara la Asia pia.
| |||||
Lugha rasmi | Kiarabu | ||||
Mji Mkuu | Cairo | ||||
Mji Mkubwa | Cairo | ||||
Serikali | Jamhuri | ||||
Rais | Abdel Fattah el-Sisi | ||||
Eneo | km² 1,010,408 | ||||
Idadi ya wakazi | 100,075,480 (2020) | ||||
Wakazi kwa km² | 99 | ||||
Uchumi nominal | Bilioni $302.256 | ||||
Uchumi kwa kipimo cha umma | $3,047 | ||||
Pesa | Lira au Pauni ya Misri = 100 Piaster | ||||
Kaulimbiu | "Haki - Amani - Kazi" | ||||
Wimbo wa Taifa | 'Biladi, Biladi, Biladi (nchi yangu, nchi yangu, nchi yangu) | ||||
Saa za Eneo | UTC +2 | ||||
Mtandao | .eg | ||||
Kodi ya Simu | +20 |
Ni nchi yenye wakazi milioni 100 na mji mkuu Kairo ni kati ya miji mikubwa zaidi duniani (zaidi ya milioni 9).
Ni kati ya nchi za dunia zenye historia ndefu inayojulikana.