Tura, Misri
From Wikipedia, the free encyclopedia
Tura (kiarabu cha Misri: طرة Tora IPA: [ˈtˤoɾˤɑ]) yalikua ni machimbo ya chokaa yaliyopo Misri.[1] Eneo hilo lililokua linatambulika na wa Misri kama Troyu au Royu, Eneo hilo lipo katikati ya Cairo na Helwan.[2]Tafsiri ya Jina la kale la eneo hilo lilikosewa na wagiriki waliodhani lilitajwa na watrojan, Jina la mji huo lilikua ni Troia.[3] Eneo hilo linapatikana kwenye mji wa lisaa wa Tora kwenye tawala za mji wa Cairo.[4]