Sinkletika
From Wikipedia, the free encyclopedia
Sinkletika (270 hivi - 350 hivi) alikuwa bikira wa Aleksandria (Misri) aliyeshika maisha ya mkaapweke badala ya kufuata uzuri na utajiri wake[1] .
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.