Rufino wa AsiziFrom Wikipedia, the free encyclopedia Rufino wa Asizi (alifariki Costano, karibu na Bastia Umbra, 238 au 239 BK) anakumbukwa kama askofu wa kwanza wa Assisi (Umbria, Italia ya Kati)[1]. Sanamu ya Mt. Rufino katika kanisa kuu la Assisi. Inasemekana alitokea Amasya, leo nchini Uturuki. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Agosti.[2]
Rufino wa Asizi (alifariki Costano, karibu na Bastia Umbra, 238 au 239 BK) anakumbukwa kama askofu wa kwanza wa Assisi (Umbria, Italia ya Kati)[1]. Sanamu ya Mt. Rufino katika kanisa kuu la Assisi. Inasemekana alitokea Amasya, leo nchini Uturuki. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Agosti.[2]