Roberto Rivellino
From Wikipedia, the free encyclopedia
Roberto Rivellino (alizaliwa 1 Januari 1946) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Brazil. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Brazil.
Rivellino ameichezea timu ya taifa ya Brazil tangu mwaka wa 1965. Rivellino alicheza Brazil katika mechi 91, akifunga mabao 26.[1]