Rafaeli Arnaiz
From Wikipedia, the free encyclopedia
Rafaeli Arnaiz, O.C.S.O.[1] (Burgos, Hispania, 9 Aprili 1911 - Dueñas, Palencia, 26 Aprili 1938) alikuwa kijana katika malezi awe mmonaki. Ingawa maradhi mbalimbali yalimzuia kuyafuata moja kwa moja, alistahimili yote kwa kumtegemea Mungu hadi mwisho[2][3][4].
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenyeheri tarehe 27 Septemba 1992, halafu Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 11 Oktoba 2009[5].