Mto Madeira
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mto Madeira (kwa Kireno: Rio Madeira; kabla ya ukoloni uliitwa na wenyeji kwa jina asilia Cuyari: [1] ) ni mto mkubwa katika Amerika Kusini. Una urefu wa km 3,250.[2] Madeira ni sehemu ya mfumo wa Mto Amazonas ukichangia asilimia 15 ya maji yote ya mto huO.[3]
Ukweli wa haraka
Chanzo | kuungana kwa mito Madre de Dios na Mamoré |
Mdomo | Mto Amazonas |
Nchi | Bolivia, Brazil |
Urefu | km 3,380 |
Kimo cha chanzo | m 180 |
Tawimito upande wa kulia | Mito ya Mamoré, Ji-Paraná, Dos Marmelos, Manicoré, Mataurá, Mariepauá, Aripuanã |
Tawimito upande wa kushoto | Mto Madre de Dios |
Mkondo | wastani m3/s 31,200, ⁃ wa chini m3/s 2,346, wa juu m3/s 52,804 |
Eneo la beseni | km2 850,000 |
Funga