UkoloniFrom Wikipedia, the free encyclopedia Ukoloni ni mfumo wa taifa moja kuvuka mipaka yake na kutawala maeneo ya mbali yanayokaliwa na watu wengine kwa nyanja za uchumi, utamaduni na jamii. Maeneo hayo yanaweza kuitwa makoloni ya kawaida au maeneo lindwa tu. Ramani ya Ukoloni duniani kabla ya Vita ya Miaka Saba mnamo mwaka 1754 Ramani ya ukoloni duniani mwishoni mwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia mwaka 1945.
Ukoloni ni mfumo wa taifa moja kuvuka mipaka yake na kutawala maeneo ya mbali yanayokaliwa na watu wengine kwa nyanja za uchumi, utamaduni na jamii. Maeneo hayo yanaweza kuitwa makoloni ya kawaida au maeneo lindwa tu. Ramani ya Ukoloni duniani kabla ya Vita ya Miaka Saba mnamo mwaka 1754 Ramani ya ukoloni duniani mwishoni mwa Vita Kuu ya Pili ya Dunia mwaka 1945.