John Henry Newman
From Wikipedia, the free encyclopedia
John Henry Newman, C.O. (London, Uingereza, 21 Februari 1801 - Edgbaston, Birmingham, 11 Agosti 1890) alikuwa padri na kardinali wa Kanisa Katoliki baada ya kuacha ukasisi wa madhehebu ya Anglikana akiwa tayari maarufu nchini kote kutokana na mahubiri na maandishi yake.
Alitangazwa na Papa Benedikto XVI kuwa mwenye heri tarehe 19 Septemba 2010[1] halafu Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 13 Oktoba 2019.