Homo ni jenasi ambayo katika uainishaji wa kisayansi inajumlisha binadamu na spishi zilizokwishakoma zilizofanana naye sana kibiolojia. Wanasayansi wamependekeza zaidi ya spishi 12 za jenasi Homo.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Homo |
|
Uainishaji wa kisayansi |
Domeni: |
Eukaryota
|
Himaya: |
Animalia (Wanyama)
|
Faila: |
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
Ngeli: |
Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
|
Oda: |
Primates (Wanyama wanaofanana kiasi na binadamu)
|
Familia ya juu: |
Hominoidea (Wanyama kama binadamu)
|
Familia: |
Hominidae (Walio na mnasaba na binadamu)
|
Nusufamilia: |
Homininae (Wanaofanana sana na binadamu)
|
Kabila: |
Hominini
|
Jenasi: |
Homo Linnaeus, 1758 |
|
Ngazi za chini |
Spishi 12:
- †H. antecessor Bermudez de Castro, Arsuaga, Carbonell, Rosas, Martinez & Mosquera, 1997
- †H. erectus Dubois, 1894
- †H. ergaster Groves & Mazak, 1975
- †H. floresiensis Brown, Sutikna, Morwood, Soejono, Jatmiko, Saptomo & Due, 2004
- †H. habilis Leakey, Tobias & Napier, 1964
- †H. heidelbergensis Schoetensack, 1908
- †H. longi Ji et al., 2021
- †H. luzonensis Détroit et al., 2019
- †H. naledi Berger et al., 2015
- †H. neanderthalensis King, 1864
- †H. rudolfensis Alekseev, 1986
- H. sapiens Linnaeus, 1758
|
Uenezi wa binadamu nje ya Afrika, kufuatana na ADN ya dutuvuo ( mitokondria). Duara za rangi mbalimbali zinamaanisha maelfu ya miaka kabla ya leo. |
Funga
Jina Homo ni la Kilatini, likiwa na maana ya "mtu", na kwa asili linahusiana na neno humus, "ardhi".[1]