Guido Buchwald
From Wikipedia, the free encyclopedia
Guido Buchwald (alizaliwa 24 Januari 1961) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Ujerumani. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Ujerumani.
Buchwald ameichezea timu ya taifa ya Ujerumani tangu mwaka wa 1984. Buchwald alicheza Ujerumani katika mechi 76, akifunga mabao 4.[1]