Eustokia Calafato
From Wikipedia, the free encyclopedia
Eustokia Smeralda Calafato wa Messina, Italia (25 Machi 1434 - 20 Januari 1485).
Alikuwa mmonaki, halafu abesi katika Shirika la Mtakatifu Klara.
Alizaliwa akafariki katika mji huo. Maiti yake haijaoza.
Alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mtakatifu bikira tarehe 11 Juni 1988.