Andrew Jackson
From Wikipedia, the free encyclopedia
Andrew Jackson (15 Machi 1767 – 8 Juni 1845) alikuwa Rais wa saba wa Marekani kuanzia mwaka wa 1829 hadi 1837. Alikuwa na Kaimu Rais wawili: kwanza John C. Calhoun, halafu Martin Van Buren aliyemfuata kama Rais.
Ukweli wa haraka 7 Rais wa Marekani, Makamu wa Rais ...
Andrew Jackson | |
Muda wa Utawala Machi 4, 1829 – Machi 4, 1837 | |
Makamu wa Rais | John C. Calhoun (1829–1832) Hapakuwa na makamu (1832–1833) Martin Van Buren (1833–1837) |
mtangulizi | John Quincy Adams |
aliyemfuata | Martin Van Buren |
tarehe ya kuzaliwa | (1767-03-15)Machi 15, 1767 Waxhaw Settlement, British America |
tarehe ya kufa | 8 Juni 1845 (umri 78) Nashville, Tennessee, Marekani |
mahali pa kuzikiwa | The Hermitage, Nashville, Tennessee |
ndoa | Rachel Donelson (m. 1794–1828) «start: (1794-01-18)–end+1: (1828-12-23)»"Marriage: Rachel Donelson to Andrew Jackson" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/Andrew_Jackson) |
watoto | 3 |
signature |
Funga