Nashville, Tennessee
From Wikipedia, the free encyclopedia
Nashville ni mji wa Marekani katika jimbo la Tennessee. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 1.5 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 182 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Jiji la Nashville | |
Mahali pa mji wa Nashville katika Marekani |
|
Majiranukta: 36°10′00″N 86°47′00″W | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | Tennessee |
Wilaya | Davidson |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 619,626 |
Tovuti: www.nashville.gov |
Funga