John Quincy Adams
From Wikipedia, the free encyclopedia
John Quincy Adams (11 Julai 1767 – 23 Februari 1848) alikuwa Rais wa sita wa Marekani kuanzia mwaka wa 1825 hadi 1829. Alikuwa mwana wa John Adams, Rais wa pili. Kaimu Rais wake alikuwa John C. Calhoun.
Ukweli wa haraka 6 Rais wa Marekani, Makamu wa Rais ...
John Quincy Adams | |
Muda wa Utawala Machi 4, 1825 – Machi 4, 1829 | |
Makamu wa Rais | John C. Calhoun |
mtangulizi | James Monroe |
aliyemfuata | Andrew Jackson |
tarehe ya kuzaliwa | (1767-07-11)Julai 11, 1767 Braintree, Massachusetts, British America (sasa Quincy, Massachusetts, Marekani) |
tarehe ya kufa | 23 Februari 1848 (umri 80) Washington, D.C., Marekani |
mahali pa kuzikiwa | United First Parish Church |
chama | Federalist (1792–1808) Democratic-Republican (1809–1828) National Republican (1828–1830) Anti-Masonic (1830–1834) Whig (1834–1848) |
watoto | 4 |
mhitimu wa | Harvard University (Bachelor of Arts, Master of Arts) |
signature |
Funga