Ziwa Ziway
From Wikipedia, the free encyclopedia
Ziwa Ziway au Zway ni kati ya maziwa ya maji baridi ya Bonde la Ufa nchini Ethiopia. Liko kilometa 160 kusini kwa Addis Ababa[1], mita 1,636 [2][3] au 1,846[4] juu ya UB.
Ukweli wa haraka Anwani ya kijiografia, Nchi za beseni ...
Ziwa Ziway | |
---|---|
Anwani ya kijiografia | 8°00′N 38°50′E |
Nchi za beseni | Ethiopia |
Urefu | km 31 (mi 19) |
Upana | km 20 (mi 12) |
Eneo la maji | km2 440 (sq mi 170) |
Kina kikubwa | m 8.9 (ft 29) |
Kimo cha uso wa maji juu ya UB | m 1 636 (ft 5 367) |
Visiwa | 5 (Debre Sina, Galila, Bird Island, Tulu Gudo) |
Miji mikubwa ufukoni | Ziway |
Funga
Ziwa linachangiwa na Mto Meki na Mto Katar, halafu linatokwa na mto Bulbar[5].
Eneo lake lote ni kilometa mraba 440, urefu ni kilometa 31 na upana kilometa 20. Kina chake hakizidi mita 9.
Mji wa Ziway uko pwani upande wa magharibi.
Ndani yake vinapatikana visiwa vya Debre Sina, Galila, Bird Island na Tulu Gudo, ambacho kina monasteri