Zambia
nchi huru katika Afrika Kusini / From Wikipedia, the free encyclopedia
Jamhuri ya Zambia ni nchi ya Kusini mwa Afrika isiyo na mwambao baharini.
|
Imepakana na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Tanzania upande wa kaskazini, Malawi upande wa mashariki, Msumbiji, Zimbabwe na Botswana upande wa kusini, Namibia na Angola upande wa magharibi.