Wout Weghorst
From Wikipedia, the free encyclopedia
Wout François Maria Weghorst (alizaliwa 7 Agosti 1992)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uholanzi,ambae anacheza kama mshambuliaji mkabaji wa klabu ya TSG Hoffenheim akitokea Burnley inayoshiriki Ligi Kuu Uingereza na timu ya taifa ya Uholanzi.[2]