Winifrida
From Wikipedia, the free encyclopedia
Winifrida (pia: Gwenffrewi, Winefride, Winifred, Wenefreda, Guineura; Flintshire, 600 - Conwy, 660) alikuwa bikira Mkristo wa Wales aliyeishi kama mmonaki[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu, pengine mfiadini.