Uwanja wa michezo wa Awassa Kenema
uwanja wa matumizi mengi huko Awassa Ethiopia / From Wikipedia, the free encyclopedia
Uwanja wa michezo Hawassa Kenema ni uwanja unaotumika katika matumizi mbalimbali ya michezo na unapatikana huko Awassa katika nchi ya Ethiopia. Uwanja huu hutumika zaidi michezo kama mechi za mpira wa miguu na hutumika kama uwanja wa nyumbani wa timu ya mpira wa miguu ya Awassa City FC. Uwanja huo una uwezo wa kuchukua watu 60,000 kwa wakati mmoja.[1]