Uwanja wa michezo wa Aluminium
Jengo nchini Misri / From Wikipedia, the free encyclopedia
Uwanja wa michezo wa Aluminium ni uwanja wa michezo ambao upo mji wa Nag Hammadi nchini Misri. Ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Aluminium Nag Hammâdi,klabu ya mpira wa miguu inayochoshiriki ligi ya daraja la Pili ya Misri.