Uthibitishaji
From Wikipedia, the free encyclopedia
Katika utarakilishi na mawasiliano, uthibitishaji (pia: uhalalishaji[1]; kwa Kiingereza: authentication) ni tendo la kuthibitisha dai, kama katika utambulisho wa mtumiaji wa mfumo wa uendeshaji.