Uingereza Kaskazini-Mashariki
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uingereza Kaskazini-Mashariki (Kiing.: North East England) ni moja ya mikoa 9 ya kujitawala ya Uingereza. Idadi ya wakazi wake ni takriban 2,515,442. Mji wake mkuu ni Newcastle upon Tyne.
Ukweli wa haraka Nchi, Sehemu ...
North East England | |
Mahali pa Uingereza Kaskazini-Mashariki katika Uingereza | |
Nchi | Ufalme wa Muungano |
---|---|
Sehemu | Uingereza |
Mji mkuu | Newcastle upon Tyne |
Eneo | |
- Jumla | 8,592 km² |
Idadi ya wakazi (2006) | |
- Wakazi kwa ujumla | 2,515,442 |
Tovuti: http://www.go-ne.gov.uk/ |
Funga