Uchaguzi wa Rais wa Marekani, 1908
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uchaguzi wa Rais wa Marekani, mwaka wa 1908 ulikuwa wa 31 katika historia ya Marekani. Ukafanywa Jumanne tarehe 3 Novemba. Upande wa "Republican Party", William Howard Taft (pamoja na kaimu wake James Sherman) alimshinda mgombea wa "Democratic Party" William Jennings Bryan (pamoja na kaimu wake John Kern).