William Howard Taft
From Wikipedia, the free encyclopedia
William Howard Taft (15 Septemba 1857 – 8 Machi 1930) alikuwa Rais wa 27 wa Marekani kuanzia mwaka wa 1909 hadi 1913. Kaimu Rais wake alikuwa James S. Sherman (hadi 1912 tu).
Ukweli wa haraka 27 Rais wa Marekani, Makamu wa Rais ...
William Howard Taft | |
Muda wa Utawala Machi 4, 1909 – Machi 4, 1913 | |
Makamu wa Rais | James S. Sherman (1909–1912) Hapakuwa na naibu wa rais (1912–1913) |
mtangulizi | Theodore Roosevelt |
aliyemfuata | Woodrow Wilson |
tarehe ya kuzaliwa | (1857-09-15)Septemba 15, 1857 Cincinnati, Ohio, Marekani. |
tarehe ya kufa | 8 Machi 1930 (umri 72) Washington, D.C., Marekani |
mahali pa kuzikiwa | Arlington National Cemetery |
chama | Republican |
ndoa | Helen Herron Taft (m. 1886) «start: (1886-06-19)»"Marriage: Helen Herron Taft to William Howard Taft" Location: (linkback://sw.wikipedia.org/wiki/William_Howard_Taft) |
watoto | Robert A. Taft Helen Taft Manning Charles Phelps Taft II |
mhitimu wa | Yale University |
signature |
Funga