SufasarFrom Wikipedia, the free encyclopedia Sufasar ulikuwa mji wa Dola la Roma, kaskazini mwa Afrika. Sufasar ulipotea kipindi cha utawala wa Kiislamu wa Maghreb. Sehemu inajulikana kwa magofu yake ya Amourah, katika Algeria ya sasa.[1] Dola la Roma - Mauretania Caesariensis (125 AD).
Sufasar ulikuwa mji wa Dola la Roma, kaskazini mwa Afrika. Sufasar ulipotea kipindi cha utawala wa Kiislamu wa Maghreb. Sehemu inajulikana kwa magofu yake ya Amourah, katika Algeria ya sasa.[1] Dola la Roma - Mauretania Caesariensis (125 AD).