Sierra Nevada
From Wikipedia, the free encyclopedia
Kuhusu milima nchini Hispania angalia hapa Sierra Nevada, Hispania
Sierra Nevada inapatikana Marekani kwa urefu wa kilomita 640 katika majimbo ya California na Nevada.
Kilele cha juu ni mlima Whitney (mita 4,421 juu ya usawa wa bahari).