Sheria ya Familia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Sheria za familia ni sehemu za sheria ambazo zinahusika na masuala ya familia na mahusiano ya ndani ikiwa ni pamoja na:
- Asili ya ndoa, vyama vya muungano, na ushirikiano wa nyumbani;
- Masuala yanayojitokeza katika ndoa, ikiwa ni pamoja na dhuluma, uhalali, watoto, na dhuluma kwa mtoto.
- Kikomo cha uhusiano pamoja na talaka, mali, wajibu wa mzazi kwa watoto).
Sheria za familia zinaweza pia kuashiria mkataba wa ndoa katika imani ya Kiislamu, ambayo inaruhusu wanaume kuoa wake hadi wanne.[1]