Sayansi
biashara ya kimfumo ambayo hujenga na kupanga maarifa, na seti ya maarifa inayotolewa na biashara hii / From Wikipedia, the free encyclopedia
Sayansi ni maarifa yanayopatikana kwa kufanya vitendo, kutazama na kujaribu kweli ambazo zimebainishwa hazijathibitishwa.[2]
Mara nyingi Galileo Galilei anahesabiwa kuwa baba wa sayansi ya kisasa.