San Giovanni Rotondo
From Wikipedia, the free encyclopedia
San Giovanni Rotondo ni mji wa mkoa wa Puglia, Italia Kusini wenye wakazi 27,355 (sensa ya mwaka 2011).
Mji huo ulipata maarufu kama makazi ya kudumu ya padri Pio wa Pietrelcina hadi kifo chake. Kwa sababu hiyo unatembelewa na mamilioni ya watu kila mwaka, hasa waumini wa Kanisa Katoliki wanaomheshimu kama mtakatifu.