Salzburg (jimbo)From Wikipedia, the free encyclopedia Salzburg (kwa Kijerumani pia: Salzburgerland) ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 530.488 kwenye eneo la km² 7.154. Jimbo la Salzburg Mahali pa Salzburg katika Austria Bendera ya Salzburg Mji mkuu ni Salzburg. Waziri mkuu ni Wilfried Haslauer (ÖVP).
Salzburg (kwa Kijerumani pia: Salzburgerland) ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 530.488 kwenye eneo la km² 7.154. Jimbo la Salzburg Mahali pa Salzburg katika Austria Bendera ya Salzburg Mji mkuu ni Salzburg. Waziri mkuu ni Wilfried Haslauer (ÖVP).