Salzburg
mji mkuu wa jimbo la Salzburg nchini Austria / From Wikipedia, the free encyclopedia
Salzburg ni mji wa jimbo la Austria la Salzburg au Salzburgerland.
Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...
Salzburg | |
Salzburg |
|
Majiranukta: 47°48′0″N 13°2′0″E | |
Nchi | Austria |
---|---|
Jimbo | Salzburg |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 155.021 |
Tovuti: |
Funga
Idadi ya wakazi imekadiriwa kufikia takriban watu 150,000.
Huu ni mji mashuhuri kwa sababu mtunzi wa muziki na opera Wolfgang Amadeus Mozart alizaliwa hapa.