Rikardo Pampuri
From Wikipedia, the free encyclopedia
Rikardo Pampuri, O.H. (Trivolzio, 2 Agosti 1897 - Milano, 1 Mei 1930) alikuwa daktari na bradha wa shirika la kihospitali la Mt. Yohane wa Mungu nchini Italia.
Kabla ya hapo alijiunga na Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko.
Yohane Paulo II alimtangaza kwanza mwenye heri tarehe 4 Oktoba 1981, halafu mtakatifu tarehe 1 Novemba 1989.