Renato Goupil
From Wikipedia, the free encyclopedia
Renato Goupil, S.J. (Saint-Martin-du-Bois, Anjou, Ufaransa 15 Mei 1608 ā Ossernenon, Marekani, 29 Septemba 1642) alikuwa daktari aliyejiunga na wamisionari Wajesuiti kama bradha akawa Mkristo wa kwanza kuuawa kwa ajili ya imani katika Marekani ya leo[1][1][2].
Alitangazwa na Papa Pius XI kuwa mwenye heri tarehe 21 Juni 1925, na kuwa mtakatifu tarehe 29 Juni 1930.