Rejina wa Alise
From Wikipedia, the free encyclopedia
Rejina wa Alise (pia: Regnia, kwa Kifaransa: Reine; alifariki Alise[1], leo nchini Ufaransa, nusu ya pili ya karne ya 3) alikuwa mwanamke aliyeuawa kwa agizo la baba yake baada ya kujiunga na Ukristo na kukataa kuuasi ili kuolewa na liwali [2].