Rafinha (mchezaji aliyezaliwa 1985)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Márcio Rafael Ferreira de Souza (anajulikana kama Rafinha; alizaliwa Septemba 7, 1985) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa Brazil ambaye anachezea timu ya Bayern Munich na timu ya taifa ya Brazil.
Jina lake linalotafsiriwa kutoka katika lugha ya Kireno kwa maana linamaanisha "Rafa mdogo".
Yeye anajulikana kama mkabaji mwenye ujuzi na mwenye ubora wa kucheza mpira, kasi, mwepesi na ni mchezaji mwenye nguvu.