Prosesi na MartinianiFrom Wikipedia, the free encyclopedia Prosesi na Martiniani (waliuawa Roma, Italia, 67 hivi) walikuwa Wakristo waliofia imani yao[1]. Kifodini cha Wat. Prosesi na Martiniani, mchoro wa Valentin de Boulogne, 1629. Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini. Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 2 Julai[2] au 11 Aprili.
Prosesi na Martiniani (waliuawa Roma, Italia, 67 hivi) walikuwa Wakristo waliofia imani yao[1]. Kifodini cha Wat. Prosesi na Martiniani, mchoro wa Valentin de Boulogne, 1629. Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini. Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 2 Julai[2] au 11 Aprili.