Pongo, kulungu au mbawala (Kiing. bushbuck) ni wanyama wa Afrika wa jenasi Tragelaphus katika familia Bovidae ambao wanafanana na Tandala.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Pongo |
Dume la pongo kusi (kulungu) (Tragelaphus s. sylvaticus) |
Uainishaji wa kisayansi |
Himaya: |
Animalia (Wanyama)
|
Faila: |
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
Ngeli: |
Mammalia (Wanyana wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
|
Oda: |
Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
|
Nusuoda: |
Ruminantia (Wanyama wanaocheua)
|
Familia: |
Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe) J. E. Gray, 1821 |
Nusufamilia: |
Bovinae (Wanyama wanaofanana na ng'ombe)
|
Jenasi: |
Tragelaphus (Nyala, pongo na tandala) de Blainville, 1816 |
|
Ngazi za chini |
Spishi 2:
|
Msambao wa pongo |
Funga