Papa Klementi X
From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Klementi X (13 Julai 1590 – 22 Julai 1676) alikuwa Papa kuanzia tarehe 29 Aprili/11 Mei 1670 hadi kifo chake[1]. Alitokea Roma, Italia[2].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Emilio Bonaventura Altieri.
Alimfuata Papa Klementi IX akafuatwa na Papa Inosenti XI.