Nishati
From Wikipedia, the free encyclopedia
Nishati inamaanisha uwezo wa kufanya kazi na kusababisha mabadiliko. Katika sayansi nishati hupimwa kwa kipimo cha SI joule.
Ukweli wa haraka Alama za kawaida, Kizio cha SI ...
Nishati | |
---|---|
Alama za kawaida | E |
Kizio cha SI | Jouli |
Kwavizio msingi vya SI | J = kg⋅m2⋅s−2 |
Funga
Katika sayansi ina mtazamo wa pekee. Ni aina ya kani/nguvu/uwezo ambapo kazi ikifanyika kama kusogeza kitu, basi tunasema nishati imetumika.