Mwaramoni
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mwaramoni ni mti mikubwa wa jenasi Castanea katika familia Fagaceae.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Mwaramoni (Castanea spp.) | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mwaramoni | ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Spishi 8
|
Funga
Matunda, yanayoitwa maramoni, yana rangi ya kahawia nyekundu au aramoni na hugubikwa na gamba lenye miiba mingi (kupula kwa kisayansi). Maramoni hupikwa au huchomwa kabla kokwa yake haijaliwa.