Mkunga (samaki)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mikunga ni samaki wa baharini na/au maji baridi katika oda Anguilliformes walio na umbo la nyoka.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Mkunga | ||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Mkunga-chui mkubwa (Gymnothorax javanicus) | ||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||
| ||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||
Nusuoda 8:
| ||||||||||
Funga
Hufanyiwa maendeleo makubwa kutoka hatua ya mapema ya lava hadi hatua ya mwisho ya waliokomaa, na wengi ni samaki mbuai.