Michael Essien
Mwanasoka wa Ghana / From Wikipedia, the free encyclopedia
Michael Kojo Essien, (alizaliwa tarehe 3 Desemba 1982) ni mchezaji wa soka wa Ghana. Amekuwa pia akichezea timu ya taifa ya Ghana zaidi ya mara 50.
Mpaka sasa amechezea timu [[Saba ] yake ya kucheza mpira. Timu hizo ni:
- Bastia
- Lyon
- Chelsea F.C.
- Real Madrid
- Milan
- Panathinaikos
- Persib Bandung