Mfalme Edmund
From Wikipedia, the free encyclopedia
Mfalme Edmund (841/842 - Thetford, Uingereza, 20 Novemba 869/870) alikuwa mfalme wa Waangli wa Mashariki, (leo Norfolk na Suffolk) katika kipindi kigumu cha karne ya 9, nchi iliposumbuliwa sana na Waviking.
Anaheshimiwa tangu kale kama mtakatifu, somo wa Uingereza.