Metz
From Wikipedia, the free encyclopedia
Metz ndiyo mji mkuu katika mkoa la Lorraine. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2006, mji una wakazi wapatao 430,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 162-256 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Metz | |||
| |||
Mahali pa mji wa Metz katika Ufaransa |
|||
Majiranukta: 49°07′13″N 6°10′40″E | |||
Nchi | Ufaransa | ||
---|---|---|---|
Mkoa | Lorraine | ||
Wilaya | Moselle | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 124,435 | ||
Tovuti: www.mairie-metz.fr |
Funga