Marseille
From Wikipedia, the free encyclopedia
Marseille (kwa Kioksitania: Marselha) ndiyo mji mkuu wa mkoa wa Provence-Alpes-Côte d'Azur, kusini mwa Ufaransa.
Ukweli wa haraka Nchi, Mkoa ...
Jiji la Marseille | |
Mahali pa mji wa Marseille katika Ufaransa |
|
Majiranukta: 43°17′47″N 5°22′12″E | |
Nchi | Ufaransa |
---|---|
Mkoa | Provence-Alpes-Côte d'Azur |
Wilaya | Bouches-du-Rhône |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 855,393 |
Tovuti: www.marseille.fr |
Funga
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2013, mji una wakazi wapatao milioni 1.7 wanaoishi katika mji huu.
Mji uko mita 0-640 juu ya usawa wa bahari.